AyoTV

VIDEO: Kama ulizikosa tambo za Antonio Nugaz wa Yanga baada ya sare 2-2

on

Baada ya matokeo ya sare ya 2-2 ya mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga ambayo yaliwafurahisha sana mashabiki wa Yanga, afisa muhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz alizidisha tambo na kusema kuwa washukuru Simba wamepata sare hivyo wanaelekea katika michuao ya Kombe la Mapinduzi kuwapasua.

VIDEO: TATHMINI YA MASAU BWIRE YANGA NA SIMBA, ALIYAJUA HAYA MAPEMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments