AyoTV

VIDEO: Karantini tutaona mengi, Msuva ageukiwa mazoezi ya Masumbwi

on

Mshambuliaji wa Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva ni miongoni mwa wachezaji ambao wamejiweka karantini nchini Morocco wakisubiri May 20 2020 kujua hatma ya Ligi Kuu ya nchini humo ambapo ilisimama kwa Corona, leo Msuva ameonekana akifanya mazoezi ya boxing kimzaamzaa kama ambavyo baadhi ya mastaa wa soka sasa hivi wamewekeza muda wao katika mazoezi binafasi na kucheza na watoto wao.

VIDEO: TIMU YA KASEJA IMEPIGWA 6-1 NIYONZIMA AKAMFANYIA INTERVIEW😂😂😂

Soma na hizi

Tupia Comments