AyoTV

VIDEO: “Kashapangwa mtu kuwa Bingwa, basi Ligi isimamishwe”-Mzee Jengua

on

Cluba ya Yanga SC katika mchezo wake wa Ligi Kuu uliyochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Lipuli FC na Yanga kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ambayo yalifungwa na Mapinduzi Balama dakika ya 14 na Bernard Morrison dakika ya 31 kwa upande wa Yanga huku la Lipuli FC likifungwa na Mwassa dakika ya 58.

Muigizaji maarufu mzee Jengua ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga alikuwa ni miongoni mwa mashabiki wa Yanga waliohudhuria mchezo huo na alikuwa na mtazamo huu baada ya mechi “Labda nikwambie kitu timu yetu ya Dar Young Africans au Kuala Lumpur wanajua sana na wamecheza mpira mzuri umeona magoli yote halali hakuna la mbeleko”>>>Jengua

VIDEO: KIPATO HULETA MAJIVUNO, ANTONIO NUGAZ WA YANGA ANATAMBA TU!!!

Soma na hizi

Tupia Comments