AyoTV

VIDEO: Katibu Mkuu TFF aizungumzia voice note ya Manara kuhusu Katabazi

on

Katibu Mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wilfred Kidao ameongea na vyombo vya habari kuhusiana na mambo mbalimbali ikiwemo ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma dhidi ya viongozi wa TFF zilizotolewa hivi karibuni kuwa wanatumia pesa za FIFA kinyume na taratibu, Katibu Mkuu ameitolewa ufafanuzi pia kauli ya Manara iliyovuja ikidaiwa kuwa alikuwa ana mshauri.

VIDEO: TIMU YA KASEJA IMEPIGWA 6-1 NIYONZIMA AKAMFANYIA INTERVIEWπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Soma na hizi

Tupia Comments