Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia December 18 2019 ametangazwa kuwa Rais mpya wa CECAFA, Karia akichukua nafasi ya Mutasim Gafaar kutokea Sudan, baada ya ushindi huo wengi walitaka kufahamu katibu mkuu wa CECAFA Nicolaos Musonye ana mawazo gani kuhusu ushindi huo.
“(Karia) ni mtu mzuri anaendesha Tanzania vizuri tumekuwa nae katika ExCom inayoondoka tutafanya nae kazi vizuri, ana mawazo ya mchango na hiyo ndio muhimu zaidi kwa watu ambao wanachangia positively kwenye ajenda”>>> Musonye
AUDIO: HARUNA NIYONZIMA ANARUDI YANGA? BUMBULI KATOA JIBU