AyoTV

VIDEO: Kauli ya Waziri Mwakyembe kuhusu game ya Simba na Yanga March 8

on

Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe leo ametoa tamko kuhusiana na upande wa serikali kuelekea mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga utakaopigwa Jumapili ya March 8 2020, Dr Mwakyembe ameeleza kuwa hakutakuwa na usumbufu wala bugudha yoyote kuelekea mchezo huo ambao utakusanya mamia ya mashabiki wa soka hapa nchini.

VIDEO: KOCHA WA YANGA NA MBAO BAADA GAME, WAJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO

Soma na hizi

Tupia Comments