Top Stories

VIDEO: Kijana anaemiliki Mgahawa China, ‘sikutaka watanzania wale nyoka nimekuja kusoma’

on

Kilimanjaro Restaurant ni mgahawa ulipewa jina la mlima uliopo Tanzania na ndio sehemu pekee inayopika chakula cha Kitanzania kwenye mji wa Yiwu China, AyoTV na millardayo.com zimezungumza na mmiliki wa mgahawa huo ambaye amefunguka ilivyopolekea kufungua mgahawa china na jinsi anavyonufaika.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

PIERRE KAFUNGUKA MAISHA YAKE YA UFUNDI FURNITURE KABLA YA KUJULIKANA

Soma na hizi

Tupia Comments