AyoTV

VIDEO: Kikosi cha Taifa Stars kimetangazwa leo

on

Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Clifford Mario Ndimbo kwa niaba ya kocha wa mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Etienne Ndairagije ametangaza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars cha majina ya wachezaji 35 ambao watacheza mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2021 na fainali za CHAN zitakazofanyika April nchini Cameroon, Kapombe na Abdi Banda waitwa Taifa Stars.

VIDEO: KAULI YA MO DEWJI BAADA YA KUISHUHUDIA SIMBA YAKE IKIFUNGWA 1-0 NA YANGA LEO

Soma na hizi

Tupia Comments