AyoTV

VIDEO: Kimwaga baada ya game, kaizungumzia game ya Simba na Yanga

on

Game ya Yanga SC dhidi ya Biashara United ilikuwa ni moja kati ya game ambayo wengi wanaamini kuwa Yanga alipata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Tariq Seif kwa shida sana lakini wengine wanaamini kuwa alicheza mpira mzuri.

Baada ya game AyoTV iliongea na Joseph Kimwaga ambaye ni mchezaji wa Biashara United ambayo alizungumzia mchezo huo kuwa mpango wao ulikuwa waondokea na walau hata point moja, kuhusiana na kiwango cha Yanga kueleka game ya dhidi ya Simba Kimwaga alisema mpira utabiriki ila kwa Yanga waliyocheza nayo kama wataenda hivi kucheza na Simba watakutana na ugumu.

VIDEO: GSM imeahidi dongo nono Yanga iifunge Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments