AyoTV

VIDEO: Kinachoendelea Villa Park England muda huu, akisubiri kutangazwa Samatta

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta muda wowote kutokea sasa ataandika historia ya kuwa mchezaji wa kwanza wa kitanzania kucheza EPL, Samatta kwa sasa anamalizia kupimwa vipimo vya afya na baadae kutambulishwa Villa Park, kutoka eneo la tukio tunae Salim Kikeke anatujuza kila kinachoendelea.

AUDIO: DR Kigwangalla ahoji bilioni 4 za MO Dewji Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments