AyoTV

VIDEO: Kipato huleta majivuno, Antonio Nugaz wa Yanga anatamba tu!!!

on

Cluba ya Yanga SC katika mchezo wake wa Ligi Kuu uliyochezwa uwanja wa Taifa dhidi ya Lipuli FC na Yanga kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ambayo yalifungwa na Mapinduzi Balama dakika ya 14 na Bernard Morrison dakika ya 31,

Baada ya mchezo huo tulimtafuta afisa muhamasishaji mkuu wa Yanga Antonio Nugaz atoe mtazamo wake kuhusiana na ushindi huo wa Yanga, Nugaz ameeleza mtazamo wake na kusema licha ya kuwa na tuhuma tena za waamuzi dhidi yao lakini kikosi chao anaamini ni kizuri.

VIDEO: RAY KIGOSI ATOA YA MOYONI, ATILIA SHAKA WAAMUZI WA VPL WAZI WAZI

Soma na hizi

Tupia Comments