Michezo

Video: Kocha Louis Van Gaal akizungumzia Man Utd – asema ni klabu kubwa duniani

on

article-2622644-1DA63E2C00000578-572_634x408Baada wiki kadhaa za tetesi kuhusu kuja kuwa mrithi wa David Moyes kwenye klabu ya Manchester United, hatimaye kocha Louis Van Gaal amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kujiunga na Manchester United.

Van Gaal ambaye  ni kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi, atamaliza mkataba wake na timu baada ya kombe la dunia. Akizungumzia kuhusu uhamisho wake kwenda Old Trafford Van Gaal alisema: “Dili bado halijakamilika.”

Alipoulizwa lini hasa watu wategemee utambulisho wake rasmi Manchester United, mholanzi huyo alisema: “Hilo sasa nadhani itabidi uwaulize Manchester United wenyewe.”

VIDEO YA INTERVIEW YA VAN GAAL

Tupia Comments