AyoTV

VIDEO: Kocha wa Simba SC kathibitisha Shiboub kurudi TZ mtihani, Kahata na Chama wiki ijayo

on

Kocha mkuu wa Simba SC Sven Vanderbroeck leo ameendelea na mazoezi akiwa na kikosi chake cha Simba SC katika uwanja wa MO Simba uliyopo Bunju jijini Dar es Salaam, Sven ameongoza kikosi hiko na baada ya hapo aliongea na waandishi wa habari.

Baada ya kumaliza kuelezea maandalizi yao kuelekea kurejea kwa Ligi Kuu, Sven ameeleza kuwa wachezaji wake wa tatu wa kimataifa Cloutous Chama aliyepo Zambia na Francis Kahata aliyepo Kenya kuna matumaini wiki ijayo wakarejea Tanzania baada ya kukosi usafiri sababu ya Lockdown lakini kwa upande wa Sharaf Shiboub aliyepo kwao Sudan hakuna matumaini sababu Sudan kuna deep Lockdown.

VIDEO: BOCCO AELEZA MAANDALIZI YA SIMBA SC KWENDA KUTETEA UBINGWA

Soma na hizi

Tupia Comments