AyoTV

VIDEO: Kocha wa Simba SC “Sifikiri kama kuna kisingizio kesho”

on

Leo Simba SC ikiwa mjini Morogoro imefanya mazoezi yake ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utachezwa uwanja wa Jamhuri Morogoro na kocha wa Simba SC Sven ameongea kuhusiana na mchezo huo na kueleza kuwa iwe isiwe lazima washinde.
“Sifikirii kama kutakuwa na sababu au kisingizio chochote hivyo iwe kuna hali ya hewa yoyote mvua au jua au tatizo la waamuzi hakuna kisingizio chochote kesho, njia pekee ni kuwajibika na tunatakiwa kuonesha kiwango bora kuliko tulichoonesha siku mbili zilizopita, tuna kazi ngumu kufanya na kupata matokeo chanya”>>>Sven Vanderbroeck

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments