Michezo

VIDEO: Kocha wa Yanga katoa la moyoni baada ya kuifunga Simba SC

on

Baada ya Yanga SC kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Simba baada ya miaka minne kwa goli 1-0 jana, kocha wa Yanga Luc Eymael ametoa ya moyoni kwa kauli za kumshushia heshima zilizokuwa zinatoka kuwa hastahili kuwa kocha wa Yanga.

“Tumeshinda hii Derby baada ya miaka minne nina furaha sana na bodi na wadhamini wa Yanga ambao kila mmoja anawajua, wachezaji wangu, familia pia na mashabiki baada ya miaka minne ya kutoshinda dhidi ya mpinzani mkubwa”>>> Luc Eymael

“Pia nina furaha kwa kejeli zilizokuwa zinatoka ndani ya club na nje ya club waliokuwa wanasema huyu jamaa (Luc) hafai kwa hii kazi (ukocha Yanga) hivyo kabla ya kuongea angalia Wikipedia angalia mafanikio ya mtu (Luc)”>>> Luc Eymael

Soma na hizi

Tupia Comments