AyoTV

VIDEO: Kocha wa Yanga Luc Eymael na kocha wa Gwambina mbele ya Waandishi

on

Kocha mkuu wa Yanga SC Luc Eymael na kocha wa Gwambina FC Novatus waliongea na waandishi wa habari mara baada ya mchezo wao wa 16 bora wa Kombe  la FA kumalizika kwa Yanga SC kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Haruna Niyonzima dakika nyongeza kipindi cha kwanza, makocha hao waliongea na waandishi wa habari baada ya mchezo.

VIDEO: “MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU”-JERRY MURO

Soma na hizi

Tupia Comments