AyoTV

VIDEO: Kujikinga dhidi ya corona, Zurii watoa elimu na kugawa sabuni kwa watoto yatima na wananchi

on

Mkurugenzi wa Zurii House Of Beuty Jestina Meru leo ameendelea na zoezi lake la kuhakikisha kuwa kama mtanzania mzalendo anashiriki kuhakikisha vita ya virusi vya corona inamalizwa salama Tanzania bila ya mtu yoyote kupoteza maisha.

Jestina akiwa na timu yake baada ya wiki iliyopita kutoa whipes bure kwa watanzania kwa ajili ya kuhakikisha mikono yao inakuwa safi muda wote na kujikinga na virusi vya corona, leo pia wamepita mitaa ya Sinza, Kinondoni, kwenye daladala na Dar Free Market kwenye vituo vya bajaj na boda boda kugawa sabuni na kutoa elimu bure kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona kwa kuhakikisha wananawa na sabuni,

VIDEO: KAULI YA KWANZA YA KATIBU MKUU YANGA KUHUSU GSM KUSITISHA HUDUMA, TSHISHIMBI KUMALIZA MKATABA

Soma na hizi

Tupia Comments