AyoTV

VIDEO: Kumlaumu Aishi Manula ni kumkosea heshima Balama wa Yanga

on

Mchezaji wa zamani wa club za Simba, Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Amri Kiemba ameeleza kuwa kama kuna shabiki anayemlaumu Aishi Manula wa Simba SC kwa kufungwa katika mchezo wa Simba dhidi ya Yanga basi atakuwa anakosea sana.

Mchezo huo uliochezwa January 4 2019 ulimalizika kwa timu hizo kufungana kwa sare ya magoli 2-2, Kiemba ameeleza kuwa siku hiyo Manula alikuwa katika kiwango chake cha siku zote ila yeye anaona hastahili kulaumiwa hususani kwa goli la kwanza na badala yake apongezwe mpigaji (Mapinduzi Balama)

VIDEO: KUMLAUMU AISHI MANULA NI KUMKOSEA HESHIMA BALAMA WA YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments