AyoTV

VIDEO: Kuna kitu cha kujifunza kwa wazazi kwa Mama wa Bingwa wa Dunia (UBO)

on

Perepetua Mtango ni mama mzazi wa bondia Salim Mtango ambaye hivi karibuni ameshinda Ubingwa wa Dunia wa UBO uzito wa lightweigh kwa kumpiga bondia Suriya Tatakhun wa Thailand kwa Technical Knock Out round ya 7 katika pambano la round 10.

Bi Perepetua Mtango ameeleza furaha yake ya mwanae kuibuka Bingwa wa Dunia na kusema kuwa hakuwa hakimzuia mwanae kucheza ngumi, alipokuwa anataka kuanza ndio kwanza aliamua kumnunulia vifaa vya mazoezi na kuanza kumpa sapoti, hiyo ni baada ya kumaliza Form IV.

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments