Habari za Mastaa

VIDEO: Linah alivyompiga busu la mdomo DJ wa Harmonize

on

Msanii Linah alikuwa ni miongoni mwa mastaa walioshiriki kwenye party ya kusherekea siku ya kuzaliwa ya meneja wa Harmonize ambapo wakati shughuli ikiendelea Harmonize alimtaka Linah kwenda kumpa busu DJ wake Seven.

Linah hakusita wala kuchelewa alimfuata DJ wa Harmonize na kumkiss mbele ya mastaa na watu waliokuwa kwenye hiyo party, pia Linah na DJ huyo wamekuwa wakihusishwa kutoka kimapenzi kwa muda sasa.

VIDEO: Harmonize amwagia meneja wake pombe na kumwimbia wimbo mpya

Soma na hizi

Tupia Comments