AyoTV

VIDEO: Mack Yanga full mbwembwe, kaja na kanga yenye ujumbe kwa Simba

on

Presha ya game ya watani wa jadi Simba na Yanga inazidi kutanda kuelekea January 4 2019 ambapo mchezo huo utachezwa, kwa sasa mashabiki wa pande zote mbili wameanza na mbwembwe na majigambo kuhusiana na mchezo huyo, hapa na kukutanisha na shabiki wa Yanga anayejulikana kwa jina la Mack Yanga.

VIDEO: KIMWAGA BAADA YA GAME, KAIZUNGUMZIA GAME YA SIMBA NA YANGA

Soma na hizi

Tupia Comments