Videos

VIDEO: Madam Flora katuletea hii video mpya ‘Yesu Usinipite’

on

Ni headlines za mwimbaji wa nyimbo za injili, Madam Flora ambae leo April 17, 2018 katuletea video ya single yake mpya itwayo Yesu Usinipite. video imeongozwa na direct Joowzey.

Unaweza ukabonyeza kuitazama video hiyo kisha usisahau kuandika maoni ili Madam Flora akipita asome ulichomuandikia.

ULIIKOSA HII YA MAJIZO KWENYE BIRTHDAY YA MWIGIZAJI BASI ITAZAME HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments