Mix

VIDEO: Madeni ya harusi yalivyoathiri ndoa changa

on

Kama una mpango au jamaa/rafiki ana mpango wa kufanya harusi kwa siku za usoni hii ni elimu imetolewa kupitia TBC 1 ili kuweza kufanya sherehe ya harusi huku ukiwa umekwepa madeni, inadaiwa kuwa maharusi wengi baada ya sherehe uangukia katika adha ya kulipa madeni wakati ambao ilitazamiwa wawe wamejikita kujenga familia zao bonyeza PLAY kutazama mjadala huu.

 

VIDEO: SOMO: MAMBO MANNE YA KUEPUKA UNAPOTAKA KUANDAA HARUSI

Soma na hizi

Tupia Comments