Manchester City jana usiku iliusogolea ubingwa wa ligi kuu ya England baada ya kuifunga Aston Villa magoli 4-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Etihad.
Video: Magoli yote manne ya mchezo wa Man City vs Aston Villa haya hapa

Leave a comment
Leave a comment