Habari za Mastaa

VIDEO: Mahaba ya TID kwa Lulu Diva, amwimbia LIVE adai ‘Atamuoa akiwa na Pesa’

on

Usiku wa kuamkia leo Msanii Lulu Diva alikuwa Insta-Live kupitia Page ya Clouds FM ambao walianzisha utaratibu wa mastaa kuwaimbia mashabiki zao nyimbo wazipendao, sasa wakati Lulu Diva akiwaimbia mashabiki wake Gafla akatokea TID ambaye akayafanya haya…

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama TID na Lulu Diva

VIDEO: Shetta kaeleza Biashara yake ya chips na mjengo aliojenga.

 

Soma na hizi

Tupia Comments