Habari za Mastaa

VIDEO: Mama yake Ben Pol akicheza zilipendwa baada ya mwanae kuwa DJ wa muda

on

Mwimbaji Ben Pol ameitumia weekend yake vizuri baada ya kupata time ya kuwa karibu na mama yake ambaye ameonekana kuwa na furaha iliyotokana na Ben Pol aliyechukua jukumu la kuwa DJ wa muda na kuplay nyimbo za zamanı ambazo mama yeke amekuwa akizipenda kitendo kilichomfanya mama huyo kucheza.

BONYEA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

VIDEO: HAMISA MOBETTO AJIZAWADIA MGARI HUU WA THAMANI KWENYE BIRTHDAY YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments