AyoTV

VIDEO: Mambo 6 Yanga watarajie kutoka kwa mshauri wao wa Ureno na Benfica

on

Club ya Yanga SC baada ya kumleta mshauri wa masuala ya mfumo wa kisasa kutokea Ureno Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye pia amewahi kufanya kazi katika club ya Benfica ameahidi Yanga watarajie mambo sita kuelekea mabadiliko hayo.

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments