AyoTV

VIDEO: Manara ajibu ishu za Bilioni 20 za MO Simba, Ligi ifutwe?

on

AyoTV imempata afisa habari wa Simba SC leo Haji Manara ambaye amejibu maswali mbalimbali wakati huu ambao wengi wangetaka ufafanuzi, Manara tumemuuliza kuhusiana na uwekezaji wa Tsh Bilioni 20 wa MO Dewji Simba SC hela zimewekwa kwenye account.

Haji Manara pia ametolea maelezo kuhusiana na kupotea mtaani kwa perfume yake yenye brand ya jina lake Della Boss Perfume, vipi kuhusu pesa anazotoa MO Dewji kufanya usajili ni sehemu ya Bilioni 20 za uwekezaji wa Simba SC? bonyeza PLAY kutazama

VIDEO: Mke wa hayati Abeid Karume akieleza kilivyotokea kifo cha Mzee Karume

Soma na hizi

Tupia Comments