Michezo

VIDEO: Manara, Antonio Nugaz na Ndimbo waonesha imani na kauli ya Rais Magufuli

on

Wadau wa soka Tanzania wamelipokea kwa furaha wazo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kuwa kama hali itaendelea kuwa kama ilivyo basi ataruhusu michezo na vyuo kufunguliwa kwa wiki inayoanzia Jumatatu.

Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Cliford Mario Ndimbo, afisa habari wa Simba SC Haji Manara na afisa muhamasishaji mkuu wa Yanga SC Antonio Nugaz wameongea na TBC 1 na kueleza kufurahishwa na wazo hilo hiyo ikiwa inatoa mwanga kwao wa kurejea kwa Ligi hivi karibuni.

VIDEO: KIKEKE ATOA MISIMAMO YA WACHEZAJI EPL “AFYA NI MUHIMU KWANZA KULIKO FEDHA”

Soma na hizi

Tupia Comments