Mix

Video: Maneno ya Rais Magufuli Dec 7 uwekaji wa jiwe la msingi huko Mwanza

on

Ni Rais Magufuli ambae leo Desemba 7, 2019 alisimama na kuzungumza mbele ya wananchi katika uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi huko mkoani Mwanza.

Itazame hii video ujionee Rais Magufuli alichozungumza mwanzo mwisho

 

Soma na hizi

Tupia Comments