AyoTV

VIDEO: Mapokezi ya Rais Magufuli Zanzibar

on

Rais Dr John Pombe Magufuli leo amewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya ziara yake visiwani humo, hata hivyo licha ya ziara hiyo Rais Magufuli yupo visiwani Zanzibar kwa ajili kuhudhuria maadhimisho ya miaka 56 Mapinduzi ya Zanzibar, haya ndio mapokezi ya Rais Magufuli alipowasili Unguja.

VIDEO: RAIS MAGUFULI ARUDI DSM, KESHO ANAENDA ZANZIBAR KUZINDUA HOTEL YA BAKHRESA

Soma na hizi

Tupia Comments