AyoTV

VIDEO: Masai wa Yanga huyu, atoa kejeli kwa Masau Bwire

on

Baada ya ushindi wa Yanga 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, mashabiki wa Yanga SC walikuwa nje ya uwanja wakimsubiri afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire ili wamtanie, hapa ni shabiki wa Yanga SC anayefahamika kama Masai.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments