AyoTV

VIDEO: Masau Bwire atolewa na wanajeshi uwanjani, mashabiki wa Yanga wakimzonga

on

February 8 2020 ilikuwa ni siku ngumu kwa afisa habari wa club ya Ruvu Shooting Masau Bwire kufutia timu yake kupoteza kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya Yanga, goli likifungwa kwa kicha na David Molinga dakika ya 40.

Baada ya mchezo kumalizika mashabiki wa Yanga waliokuwa wamefurika uwanja wa Uhuru walikuwa wakimsubiria Masau Bwire atoke ili waanze kumtania kutokana na afisa habari huyo kazoea kutamba sana kabla ya mechi, Masau kutokana na umati mkubwa uliopo alilazimika kuondolewa uwanjani na wanajeshi, tazama video hapo chini.

VIDEO: MASAI WA YANGA HUYU, ATOA KEJELI KWA MASAU BWIRE

Soma na hizi

Tupia Comments