AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Simba wamkalia kooni kocha, Senzo kamtoa wapi huyu?

on

Baada ya mchezo wa Simba SC kumalizika kwa Simba SC kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, magoli ya Simba SC yakifungwa na John Bocco dakika ya 57 na Ibrahim Ajib dakika za nyongeza wakati goli la Polisi likifungwa na Sixtus Sibalo dakika ya 23 ya mchezo, mashabiki wa Simba waongea na kuponda kiwango cha timu yao.

VIDEO: PAMBANO LA ROUND 10: MTANZANIA VS MTHAILAND NI UBINGWA WA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments