AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga SC wamjibu mzee Kikwete

on

Baada ya kusambaa kwa video iliyokuwa ikiwaonesha mashabiki wa Yanga wanaosafiri kwa usafiri wa baiskeli kutokea Mtwara hadi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuja kutazama timu yao ya Yanga ikicheza na watani zao wa jadi Simba SC.

Mashabiki hao baada ya kuwasili wameeleza kuwa sababu kuu ya kuamua kufanya hivyo ni kumjibu Rais mstaa wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mashabiki wa Yanga baridi viwanjani wamepoa hawajachangamka kama majirani zao Simba, hivyo wameonesha umahiri kuwa kuonesha wako timamu kuishangilia Yanga Jumamosi mwanzo mwisho.

VIDEO: NIYONZIMA KAWASILI DAR, KAULI YAKE KUHUSU GAME YA SIMBA NA YANGA NDIO HII

Soma na hizi

Tupia Comments