AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga waanza mbwembwe, Simba wajiandae

on

Baada ya ushindi wa 1-0 wa Yanga katika uwanja wa Nangwanda dhidi ya Ndanda FC, mashabiki wa Yanga waanza kumtania mtani wao Simba SC, kuwa tayari wamemalizana na mechi za kimataifa sasa Simba ajiandae kwa maana wamerudi kwenye Ligi, hapa ndio walikuwa wanatamba

VIDEO: BAADA YA KUFUKUZWA AYO TV IMEMFUATA ZAHERA KWAKE “SIJAPEWA BARUA”

Soma na hizi

Tupia Comments