AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga walivyomzuia Yikpe kuongea na waandishi wakihofia Simba

on

Baada ya Yanga SC mapema leo kutangaza kumsajili mshambuliaji mpya raia wa Ivory Coast Yikpe Dominique aliyekuwa anaichezea Gor Mahia, mchezaji huyo alienda Taifa kuangalia game ya Yanga na Biashara iliyomalizika kwa Yanga kupata ushindi wa 1-0.

VIDEO: GSM imeahidi dongo nono Yanga iifunge Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments