AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga waonyesha uzalendo wa hali ya juu licha ya kipigo cha 3-0

on

Kipigo cha 3-0 uwanja wa Uhuru cha Yanga leo dhidi ya Kagera Sugar kimewatia majonzi mashabiki wa Yanga SC lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi, mashabiki wa Yanga waonyesha ukomavu wa hali ya juu licha ya kufungwa walisubiri hadi wachezaji wao wote watoke uwanjani na kuwapigia makofi.

AUDIO: DR Kigwangalla ahoji bilioni 4 za MO Dewji Simba SC

Soma na hizi

Tupia Comments