AyoTV

VIDEO: Mashabiki wa Yanga watangaza maandamano hadi kwa Rais Magufuli

on

Pamoja na Yanga kushinda ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Lipuli FC katika uwanja wa Taifa, shabiki wa Yanga maarufu kwa jina la Daudi Yanga amenukuliwa akisema kuwa wao kama mashabiki wa Yanga pasipokuwahusisha viongozi wao wakuu wa timu, wameandaa maandamano kuanzia Jangwani hadi Ikulu Magogoni kwa ajili ya kukutana na Rais Magufuli na kutoa kero zao kuhusiana na marefa na TFF.

VIDEO: Ray Kigosi atoa ya moyoni, atilia shaka waamuzi wa VPL wazi wazi

Soma na hizi

Tupia Comments