Habari za Mastaa

VIDEO: Mashauzi ya Shilole wakati wa maandalizi ya Birthday party yake

on

Leo December 20, 2019 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya msanii Shilole ambaye atajumuika na baadhi ya wasanii wenzake na watu wake wa karibu kwenye chakula cha usiku, Kumbuka Leo Shilole anatimiza miaka 32 ya kuzaliwa na miaka zaidi ya 6 Kwenye game ya Bongofleva.

Hii ni video fupi kutokea makao makuu ya Shishi Food Kinondoni inayoonesha maandalizi ya Birthday Dinner ya msanii Shilole. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: GNAKO NA MSANII WA JAMAICA ALIYEFANYA KOLABO NA MASTAA WAKUBWA

Soma na hizi

Tupia Comments