AyoTV

VIDEO: Mbrazil wa Simba SC Fraga atimiza miaka ya ndoa na Eduarda Franca

on

Kiungo wa Simba SC raia wa Brazil Gerson Fraga leo ametimiza miaka 6 ya ndoa na mke wake  Eduarda Franca, Fraga na Eduarda walifunga ndoa May 3 2014 kwa mujibu wa picha alizoziweka katika ukurasa wake wa instagram, mrembo huyo na Fraga wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.

VIDEO: BAADA YA LIGUE 1 NA LIGI KUU KENYA KUFUTWA, NIYONZIMA ANAUSHAURI HUU VPL

Soma na hizi

Tupia Comments