Mix

Video: Michael Jordan akitoa machozi baada ya kumzungumzia Kobe Bryant

on

Michael Jordan alikuwa ni miongoni waliosimama jukwaani kuelezea ukaribu wake na marehemu Kobe Bryant, sasa akashindwa kujizua na kujikuta anatoa machozi baada ya kuzungumza vitu mbalimbali alivyowahi akishauriana na marehemu Kobe Bryant

Tukio hilo muhimu lilifanyika  usiku wa FEB 24 nchini Marekani kuwakumbuka legend wa NBA Kobe Bryant na binti yake Gianna pamoja na waliofariki katika ajali ya helicopter binafsi na wengine 7

Soma na hizi

Tupia Comments