AyoTV

VIDEO: “Mimi ndio nitakayemshughulikia (Manara), amenizidi umasikini tu”-Kindoki

on

Shabiki wa Yanga SC maarufu kwa jina la Jimmy Kindoki mara baada ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Gwambina uliyomalizika kwa Yanga SC kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la ASF kwa ushindi wa goli 1-0, Kindoki aliongea na waandishi kwa furaha ya ushindi huo lakini akianza kuleta tambo na kuwaambia Antonio Nugaz na Jerry Muro waache kubishana na Haji Manara wa Simba na yeye ndio atamjibu.

VIDEO: “MANARA AWE NA ADABU, MIMI MKUU WA WILAYA AKILETA MDOMO SAA 48 ZINAMUHUSU”-JERRY MURO

Soma na hizi

Tupia Comments