AyoTV

VIDEO: Mke wa hayati Abeid Karume akieleza kilivyotokea kifo cha Mzee Karume

on

Ikiwa leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Aman Abeid Karume, mke wa hayati mzee Karume ameongea leo na kueleza zilivyomfikia taarifa za kifo cha mzee Karume kilichotokea April 7 1972 kwa kupigwa risasi, leo ikiwa ni kumbukumbu ya kutimiza miaka 48 toka afariki.

VIDEO: “WALIOPO LOCKDOWN WANAJUTA” WAZIRI AKIKAGUA KIWANDA CHA MASK

Soma na hizi

Tupia Comments