Habari za Mastaa

VIDEO: Mke wa Marehemu Mitimingi awapigia magoti waumini Msibani

on

Wakati ibada ya kuaga mwili wa marehemu mchungaji Mitimingi ikiwa inaelekea kuisha mke wake alipewa nafasi ya kuzungumza ambapo aliwashukuru waumini kwa kujitokeza kwa wingi na kuwatia moyo wasiache kuhudhuria ibada kama walivyokuwa wakifanya hivyo awali ambapo alijikuta anashindwa kujizuia na kupiga magoti mbele ya waumini huku akiongea kwa uchungu.

Bonyeza PLAY kutazama hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments