Michezo

Video Mke wa Pogba wa “Man United” apagawa na wimbo wa Diamond

on

Zulay Pogba ambaye ni mke wa mchezaji wa Man United Paul Pogba, ameonekana kupagawa na wimbo wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz uitwao “Waah”.
Mke huyo wa mchezaji wa Man United alishare video kupitia insta story huku akicheza na familia yake, unaweza ukabonyeza play ukatazama mwanzo mwisho.

TAZAMA MAUNO YA HAMISA MOBETTO YALIVYOMPAGAWISHA ADAM MCHOMVU, “MWIJAKU AIBUKA STUDIO”

VIDEO HAMISA AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA RICK ROSS “NI MTU MZURI/NILIONGEA NAE”

Soma na hizi

Tupia Comments