AyoTV

VIDEO: Mkenya aliyefunga safari kutoka Kenya hadi Old Trafford kumfuata Mourinho

on

Usiku wa December 4 2019 ilikuwa ni siku muhimu katika historia ya soka baada ya wengi kuwa na shauku ya kuona Jose Mourinho baada ya kufutwa kazi na Man United December 2018, anarejea tena Old Trafford kwa mara ya kwanza akiwa anakaa sehemu ya timu ngeni.

Mkenya Enock amesafiri kutoka Kenya hadi Old Trafford kwenda kumuangalia Mourinho katika mchezo aliyopoteza kwa kufungwa 2-1 akiwa na kikosi chake cha Tottenham Hotspurs, mtazame Enock akieleza safari yake na kuwa ndio mara yake ya kwanza kutazama mechi ya Ligi Kuu England.

VIDEO: Patrick Aussems aondoka Tanzania na kuacha ujumbe mzito kwa MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments