AyoTV

VIDEO: Mkwasa kwa kujiamini mbele ya Hans Pope “Simba timu ya kawaida”

on

Kaimu kocha mkuu wa Yanga SC Boniface Mkwasa baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Prisons katika uwanja wa Samora Iringa, aliongea na waandishi wa habari huku akiwa mita chache kutoka alipokuwa amesimama Hans Pope wa Simba SC.

“Hatuwezi kuizungumzia Simba kwa sababu Simba ina wakati wake na sisi tupo kwenye timu nyingine, hatuwezi kuizungumzia Simba kwa sababu sio mahala pale ikifika wakati wa Simba tutaizungumzia Simba ni timu ya kawaida kama timu nyingine yoyote na inafungika”>>>Mkwasa

Simba SC na Yanga wanatarajia kukutana January 4 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mchezo wao ukitajwa kuwa wenye mvuto zaidi kutokana na timu hizo mbili derby yao kuwa moja kati ya Derby 10 za Afrika, mchezo huo ukipewa nafasi ya tano.

nnn

Soma na hizi

Tupia Comments