Habari za Mastaa

VIDEO: Kwa mara ya kwanza mshindi wa BSS kazungumza

on

Meshaki Fukuta ndiye mshindi wa Bongo star search 2019 ambaye amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kutangazwa mshindi na ameelezea furaha yake ikiwemo kutokukata tamaa kwa kushiriki zaidi ya mara moja kwenye mashindano haya na hatimaye meaja huu kaibuka mshindi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

VIDEO: HATIMAYE HUYU NDIYE MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH 2019

Soma na hizi

Tupia Comments