AyoTV

VIDEO: Msuva katuonesha umahiri wa kucheza Sudden ya Tekno

on

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na club ya Difaa El Jadid ya Morocco Simon Msuva aliwahi kupitia THT upande wa Dancers lakini marehemu Ruge Mutahaba alimwambia kwenye mpira ndio panamfaa zaidi, Msuva hapa ametuonesha umahiri wake katika upande wa dancing hapa kacheza wimbo wa Sudden wa Tekno.

VIDEO: BAADA YA LIGUE 1 NA LIGI KUU KENYA KUFUTWA, NIYONZIMA ANAUSHAURI HUU VPL

Soma na hizi

Tupia Comments